Samia Suluhu
Samia Suluhu|May 08, 2026 12:30
Leo Mei 8, 2026 nimeungana na wajumbe wenzangu katika Kikao cha Shina Namba 1 la Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chamwino mkoani Dodoma kilichoitishwa na Balozi wa Shina, Bi. Paulina Mkasanga, kwa mujibu wa Ibara ya 21 na 24 ya Katiba ya CCM. (Samia Suluhu)
Share To

HotFlash

APP

X

Telegram

Facebook

Reddit

CopyLink

Hot Reads