Samia Suluhu
Samia Suluhu|8月 09, 2025 09:56
Mapema leo katika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi, Dodoma, nilipoambatana na Mgombea Mwenza, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, kuchukua Fomu ya Kugombea Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ahsante kwa wanachama wote wa Chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakazi wa Dodoma, wanakijiji wenzangu wa Chamwino na wananchi wote kutoka maeneo mbalimbali ya nchi yetu kwa salamu za kheri. Kazi na Utu, Tunasonga Mbele.(Samia Suluhu)
Share To

HotFlash

APP

X

Telegram

Facebook

Reddit

CopyLink

Hot Reads